Uzinduzi wa Agenda ya Utafiti wa Mifugo na Uvuvi Nchini

Uzinduzi wa Agenda ya Utafiti wa Mifugo na Uvuvi Nchini

Wadau Mbalimbali wa Tafiti za Mifugo wakisikiliza kwa makini hotuba iliyokua ikitolewa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Agenda ya Utafiti wa Mifugo na Uvuvi nchini