Uzinduzi wa Agenda kuu ya kitaifa ya Utafiti wa Mifugo

WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI

Mhe. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) akionyesha kitabu cha Agenda ya kitaifa ya utafiti wa Mifugo kwa wadau mbalimbali katika halfa ya uzinduzi wa Agenda ya kitaifa ya utafiti wa Mifugo,iliyofanyika katika chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo,Morogoro.