Uzalishaji wa Ng'ombe bora kwa kutumia teknolojia ya viini tete

TALIRI RESEARCH

Mhe. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) akipata maelezo kuhusu teknolojia ya kisasa ya uzalishaji wa mifugo kwa kutumia viini tete (MOET) kutoka kwa mmoja wa wataalamu wa uzalishaji wa mifugo TALIRI-MPWAPWA.