Mafunzo kwa watafiti juu ya uhawilishaji viini tete

Uhawilishaji wa viini tete

Prof. Noel Kanuya akitoa mafunzo ya teknolojia za uhimilishaji na uhawilishaji kwa watumishi wa TALIRI Mpwapwa. Mradi wa kuhawilisha viini tete unatarajiwa kuongeza kasi ya upatikanaji wa ng'ombe bora nchini.